Wadhamini wa SIMBA SC wametoa zawadi ya fedha taslim nikiwazungumzia SPORTS PESA waletoa kitita cha MILIONI MIA MOJA kama pongezi kwa club ya simba.
pichani ni kulia ni GADIEL MICHAEL MMBAGA. beki wa kushoto. na Kushoto ni BENNO KAKOLANYA.
#SIMBA NGUVU MOJA
0 Comments