Makombe tunayo mkononi na tumeyatetea yote tuliyo yachukuwa msimu uliopita. sasa tupo mapumziko tukiangazia usajili tayari kwa mapambano kwa msimu ujao.

Hakuna tetesi zozote za kumwacha mchezaji yeyote kwa msimu huu na hata unaokuja tunajipanga na masbindano makubwa kwahiyo tunahitaji wachezaji wenye uwezo na wazoefu ktk club bingwa.

Imekuwa ikitembea mtandaoni sisi kumuacha LUIS  na kumchukuwa WATER BWALYA wa Ally Ahly ya MUSRI habari hizi hazina ukweli wowote sisi hatuna mpango huo wala hatukuwahi kufikiri kumwacha mchezaji yeyote lakin tunafikiria kuongeza wachezaji na sio kuuza.

#SIMBA NGUVU MOJA