Tumekamilisha usajili na Peter banda kiungo mshambuliaji wa MALAWI. hii yote ni kwajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Tunagarajia makubwa kutoka kwa PETER BANDA raia wa MALAWI maana amefanya vizuri kwenye clab yake huko alikoaga kabla ya kutua msimbazi.

#SIMBA NGUVU MOJA