Kipa namba moja ktk soka la Tanzania tukimzungumzia Aishi Manula A.K.A (Air Manula) Aishi manula ni kipa bora ktk ligi za ndani na nje ya nchi kwa ujumla. Manula alifanya vizuri ktk clab bingwa africa na kupata heshima kubwa ktk mipira yake yote aliyoicheza.Tunashukuru bench la ufundi kwa clab ya simba kumnoa kijana mwenye asili ya kitanzania na kumfanya aonekane golikipa namba moja kwa taifa la Tanzania.

#simbanguvumoja